Thursday, December 26, 2013




Leo mida hii ya usiku msanii anayemake headline kwenye vyombo vya habari kwa ngoma zake kali pamoja na skendo kibao, Diamond platnumz. Amepost picha akiwa na washikaji zake wakiwa ndani ya private jet kuelekea mwanza ambapo anatarajiwa kwenda kupiga show

HIKI NDICHO ALICHOANDIKA

Flyn to Mwanza with my team...lets all meet at Club Kilimanjaro, Buguluzwa Plaza #Private jet life

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog