Sunday, October 6, 2013

 
Sunderland wakiwa kwao kwenye uwanja wao wa Stadium of Light wanapata bao la kwanza dakika ya 5 kupitia mchezaji Craig Gardner baada ya mabeki wa United kujichanganya na kutangulia kwa bao 1-0 dhidi ya United. Dakika ya 55 kipindi cha pili Mchezaji Adnan Januzaj wa United anaipata bao na kusawazisha kwa kufanya 1-1. Dakika sita baadae Adnan Januzaj akaipatia bao jingine na kufanya matokeo yawe 2-1 dhidi ya Sunderland ambao wapo kwao.

  1.  


 Kumbuka Sunderland haijashinda hata mechi moja huku wakiwa mkiani wakiwa na alama 1 tu katika msimamo wa ligi kuu England. Mpaka dakika za kwenda mapumziko timu ya Sunderland ndiyo ilikuwa juu ya bao 1-0 dhidi ya timu ya Manchester United usiku huu. 
Mchezaji wa Sunderland Craig Gardner
                               akipinga mpira na kufunga mbele ya Nemanja Vidic
 
Agility: David De Gea made a remarkable save to keep the score at 1-0 in the first half
                                        David De Gea hakuona ndani hapa...1-0.....
 
                                        Gardner akishangilia baada ya kuifunga Manchester Unied
Shock: Craig Gardner slammed home the first goal after a terrible mistake by Nemanja Vidic 
                   Majanga kwa United....1-0!! kipindi cha kwanza dakika ya 5 pwaa!!
 
Machungu: Robin van Persie, Michael Carrick na 
Wayne Rooney baada ya kufungwa bao na hapa 
wako katikati ya uwanja wakijiuliza mbinu ya
 kutaka kushinda kwenye uwanja wa ugenini wa wa Stadium of Light
Down hearted: Manchester United players look on after Craig Gardners opener for Sunderland
                                  Kila mchezaji akijiuliza hapa!!??!!... 
 
Meneja wa Manchester United David Moyes akiwa
 anaangalia vijana wake kwenye uwanja wa Stadium
 of Light usiku huu akicheza na timu ya Sunderland.
Jaw dropping: Adnan Januzaj rescued Manchester United with two goals, his second a stunning volley
Adnan Januzaj akitupia bao la kwanza hapa na
 kuiokoa kwa kusawazisha na kunyamazisha mashabiki
 
Adnan Januzaj alivyokabwa vilivyo na mchezaji wa Sunderland
 
Malipo ni hapa hapa: Mchezaji wa
 Sunderland Ondrej Celustka akivutwa nae jezi na mchezaji wa 
Manchester United Adnan Januzaj.
Loss of form: Jozy Altidore (left) gave Nemanja Vidic the run-around
                 Jozy Altidore akivutwa shati na Nemanja Vidickipindi cha kwanza
From zero... Januzaj was booked for diving early on in the second half
Januzaj alipewa kadi ya njano hapa kwa kujiangusha eneo hatari ndani ya box
Relief: The result was much needed for David Moyes
Matokeo haya yalikuwa ni muhimu sana kwa timu pamoja na David Moyes
From zero... Januzaj was booked for diving early on in the second half 
Unajiangusha angusha tuuu...we ni Young..pokea kwanza!!!
To hero... Soon after he earned his team the three points
Van Persie kushoto....
To hero... Soon after he earned his team the three points
Adnan akifunga bao la pili na la ushindi hapa.
Greeting: Moyes and Ball shake hands before the match
Makocha: Moyes na Ball wakisalimiana kabla ya mtanange
VIKOSI: 
Sunderland: Westwood, Celustka, O'Shea, Roberge, Colback, Cattermole, Ki (Wickham 74), Johnson, Gardner (Larsson 56), Giaccherini, Altidore.
Subs: Cabral, Cuellar, Mannone, Ji, Borini.

Goal: Gardner 5.
Booked: Gardner, O'Shea.

Man Utd: De Gea, Rafael Da Silva (Smalling 86), Jones, Vidic, Evra, Carrick, Cleverley, Nani (Welbeck 77), Rooney, Januzaj (Valencia 77), Van Persie.
Subs: Giggs, Lindegaard, Hernandez, Kagawa.

Goals: Januzaj 55, 61.
Booked: Rooney, Januzaj, Vidic, Rafael.

Referee: Chris Foy (Merseyside)


RATIBA/MATOKEO:
Jumamosi 5 Oktoba

14:45 Manchester City 3 v Everton 1
17:00 Cardiff City 1  v 2 Newcastle United
17:00 Fulham 1 v 0 Stoke City
17:00 Hull City 0 v 0 Aston Villa
17:00 Liverpool 3 v 1 Crystal Palace
19:30 Sunderland 1 v 2 Manchester United

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog