PICHA ya staa wa filamu, Hisani Muya ‘Tino’ na msichana aliyetajwa
kwa jina moja la Hellen mkazi wa Arusha imezua utata ikidaiwa kuwa
wawili hao huenda wakawa na uhusiano.
Hisani Muya ‘Tino’ katika pozi tata na msichana aliyetajwa kwa jina moja la Hellen.
Chanzo kilichoipenyeza picha hiyo kimeitonya Stori 3 kuwa, Hellen
aishiye jijini Arusha amekuwa akiwatambulisha mashosti zake kuwa wana
uhusiano wa karibu sana na staa huyo ndiyo maana amekuwa akihifadhi
picha nyingi walizopiga naye kimahaba.Alipotafutwa Tino kuhusiana na picha hiyo, alidai hakumbuki kama ana mchumba aitwaye Hellen isipokuwa alikiri kupiga picha nyingi za kimalovee na wanawake tofauti.
0 maoni:
Post a Comment