STAA wa sinema za nyumbani, Jacqueline Wolper amemtemea cheche msanii
mwenzake, Baby Joseph ‘Baby Madaha’ kuwa anatafuta ustaa (kiki) kupitia
jina lake
Akifafanua kauli yake mbele ya kinasa sauti cha Stori 3, Wolper alisema anamshangaa msanii huyo kumsemea vibaya, kutoa lugha ya matusi mtandaoni bila sababu za msingi
“Namshangaa Baby Madaha kwa aliyoyasema kuhusu mimi, anatafuta kiki. Watu wanafahamu mimi ni staa kuliko yeye kwa hiyo sidhani kama ana sababu ya kugombana na mimi,” alisema Wolper.

0 maoni:
Post a Comment