Friday, July 26, 2013


Rais Kikwete aliongoza watanzania Nchini kuhudhuria maadhimisho ya mashujaa waliopigania vita vya ukombozi dhidi ya majeshi ya uvamizi ya Nduli Idd Amini mwaka 1978/79, maadhimisho yaliadhimishwa katika kambi ya jeshi JWTZ Kaboya wilayani Muleba.

Viongozi mbalimbali

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ngao/sime katika mnara wakati wa maadhimisho ya kumbukumbu ya Mashujaa katika kambi ya jeshi ya Kaboya, Bukoba, mkoani Kagera leo.


Photo: MAADHIMISHO YA MASHUJAA MWAKA 2013 KITAIFA KABOYA
www.bukobasports.com

Viongozi wa dini wakisoma dua kwenye maadhimisho hayo. Pembeni ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Mohamed Ali Shein, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Jaji Mkuu Mheshimiwa Chande Othman na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Othman Makungu




Rais Jakaya Kikwete akitembelea makaburi ya mashujaa waliopoteza maisha wakati wa vita na Nduli Iddi Amini wa Uganda
JK akisalimiana na askari wastaafu
Photo: MAADHIMISHO YA MASHUJAA MWAKA 2013 KITAIFA KABOYA MKOANI KAGERA
www.bukobasports.com



0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog