Thursday, July 11, 2013

HII NDIO KAULI YA JOKETI BAADA YA DIAMOND KUJUTIA KUMUACHA  

Hivi karibuni, katika kipindi cha “Take One” cha Clouds TV na Zamaradi Mketema, msanii Diamond Platnumz aliongelea jinsi anavyojutia kumuingiza mrembo Jokate Mwegelo kwenye mapenzi halafu, halafu akachanganya mambo na Wema Sepetu.
 


kama uliikosa interview hiyo, click link ifuatayo kuiangalia video: VIDEO: Diamond – Najuta kumuingiza Jokate kwenye mapenzi, kisha nikamrudia Wema

  
Jokate amesema amefurahi kuona Diamond amefunguka na kusema ukweli.
Na hii ndio kauli yake:
“Watu wengi hawajui the real issue, I’m glad kama ame-acknowledge I was innocent in that whole matter,” amenukuliwa Jokate na mtandao huu.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog