CHECK HAPA TID ALIVYOJIACHIA UK, WAZUNGU WAMSHANGAA WAMGEUZA KIVUTIO
T.I.D msanii wa
long time kwenye game ya bongoflava tangu enzi za Zeze,Siamini hadi leo
hii na Kiuno na bado anafanya vizuri. Wiki kadhaa zilizopita baada ya
kumaliza msiba wa mshikaji wake Mangwea, T.I.D alisafiri kwenda England
kufanya show ambako huko pia ndiyo alifanya interview inayozungumziwa
sana hivi sasa kwenye mitandao. Chukua time kidogo kumcheki T.I.D akiwa kwenye mitaa ya huko UK.
0 maoni:
Post a Comment