Sunday, August 2, 2015


Mesut Ozil
Ligi kuu ya Uingereza inaanza tena siku ya jumapili wakati ambapo mabingwa wa ligi hiyo Chelsea wanakutana na washindi wa kombe la FA Arsenal katika kombe la Charity Shield itakayogaragazwa katika uwanja wa Wembley.
Mechi hiyo inajiri siku 64 baada ya kumaliza ligi hiyo na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Aston Villa katika fainali ya FA.
Pande zote mbili hazijafanya usajili mkubwa katika msimu huu ijapokuwa kipa Petr Cech ataanzishwa dhidi ya timu yake ya zamani Chelsea.
Makipa -  Emiliano, David Ospina na Petr Cech
Chelsea vilevile inaweza kumuanzisha mchezaji wao mpya Radamel Falcao.
Falcao mwenye umri wa miaka 29 alihudumu katika kilabu ya Manchester United msimu uliopita lakini hakuweza kutamba kwani aliweza kufunga mabao 4 katika mechi 29 alizocheza pekee.

Siku ya jumapili itazikutanisha timu hizo mbili huku mkufunzi wa Arsenal akitarajia kuishinda timu inayofunzwa na Mourinho kwa mara ya kwanza kati ya mechi 13 walizocheza huku wakufunzi hao wawili tayari wakitofautiana. Mourinho alisema kwamba Arsenal imetumia fedha nyingi msimu huu ikilinganishwa na Chelsea katika kipindi cha miaka kadhaa iliopita ,huku Wenger akijibu kwamba hasikizi kile watu wanachosema ama kufikiri.Aaron Ramsey Ramsey kwa furaha wakati wa mazoeziMesut Ozil Kocha Arsene Wenger akiwacheki Vijana wake wakati wa mazoeziAaron Ramsey akiwa kona akiwapigia wenzake konaGabrielHector akivutwa shati na IwobiOzilJeff nae kafanya mazoezi na kulia ni Aaron RamseyFlaminiGibbsChambers
Per Mertesacker na LaurentJeff na Iwobi nao wakijifuaChambers akibadilishana mawazo na wenzake

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog