Wednesday, July 22, 2015


Benteke ajiunga na Klabu ya Liverpool
Benteke mwenye asema sasa Makombe yaja Liverpool!

Mambo safi!! Benteke akitoa dole kuonesha mambo kuwa safi kwake baada ya kujiunga na klabu Mpya ya Majogoo!
Sasa kilichobaki ni kupigania namba kati ya  Daniel Sturridge, Danny Ings, Divock Origi, mpya  Firmino

Benteke pia amemshukuru Mmmiliki wa Klabu  Ian (Ayre)baada ya kuikacha Aston Villa na kujiunga na Liverpool.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog