Akimwaga wino kwenye karatasi kujiunga jumla na Klabu ya Liverpool kutokea Southampton
Nathaniel Clyne akipozi kupata picha na Uzi wa Liverpool
Clyne amesaini mkataba wa miaka 5 kwa kitita cha £12.5m
Clyne tayari amekamilisha mambo yake yote ikiwemo upimwaji na sasa yu Tayari kuleta mabadiliko kwenye Klabu mpya ya Liverpool.
Clyne ni miongo mwa wachezaji 6 waliosajiliwa na Liverpool kwa msimu wa 2015/2016
0 maoni:
Post a Comment