Monday, July 13, 2015

KIUNGO wa kimataifa wa Ujerumani, Bastian Schweinsteiger atawasili Uwanja wa Ndege wa Manchester kukamilisha uhamisho wake wa Pauni Milioni 15 kuhamia Manchester United kutoka Bayern Munich.
Nahodha huyo wa Ujerumani, ambaye ameongozana na mpenzi wake, nyota wa tenisi, Ana Ivanovic, atakwenda moja kwa moja kufanyiwa vipimo vya afya na kufanya makubaliano ya maslahi binafsi kabla ya kukamilisha uhamisho wake Old Trafford. 
Schweinsteiger anatarajiwa kwenda Manchester United katika ziara ya Amerika kucheza Kombe la Mabingwa wa Kimataifa.  
Bastian Schweinsteiger akiwa kwenye ndege kuelekea mjini Manchester kukamilisha usajili wake

Manchester United confirmed the signing via their official Twitter account on Saturday afternoon
Schweinsteiger scored against Manchester United in a Champions League tie at Old Trafford in April 2014
The Bayern Munich midfielder will bring a wealth of experience to Old Trafford and is a World Cup winner
Former Manchester United star Bryan Robson believes Schweinsteiger will improve the Red Devils
Robson believes Schweinsteiger (pictured in 2008) can play a similar role at United as Michael Carrick

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog