Monday, July 13, 2015

 

Muigizaji Benson Wanjau wa Kenya maarufu kama Mzee Ojwang wa vipindi kama Vitimbi, Vioja 
Mahakamani, Vituko, Kinyonga na vingine vingi afariki dunia jana Usiku akiwa amelazwa hospitali ya taifa ya Kenyatta National Hospital. Mzee Ojwang alikuwa anasumbuliwa na Pneumonia.
ojwang3
Wakenya wengi wameguswa na msiba huu huku baadhi ya watu wakipost ujumbe tofauti kwenye mitandao wa Twitter kuonyesha kuguswa kwa msiba huu wa aliekuwa mchekeshaji mkongwe wa Kenya.


0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog