Tuesday, April 7, 2015


Jason Puncheon akishangilia bao lake la pili kwa City kwa kufanya 2-0 kipindi cha pili dakika ya 48. Dakika ya 78 Yaya Touré alianza kurudisha bao kwa kufanya 2-1.Crystal Palace walienda mapumziko wakiongoza kwa bao la Glenn Murray la dakika ya 34 dhidi ya Wageni wao Man City. 
2-0 dakika ya 48 mfungaji ni Jason Puncheon kipindi cha piliCity hoi Ugenini....Selhurst Park!!Chupuchupu Crystal Palace wapate bao kipindi cha kwanza...VIKOSI:
Crystal Palace Wanaoanza 11: Speroni, Ward, Delaney, Dann, Kelly, McArthur, Ledley, Puncheon, Zaha, Bolasie, Murray
Akiba: Hennessey, Hangeland, Souare, Boateng, Sanogo, Gayle, Ameobi
Manchester City Wanaoanza 11: Hart, Sagna, Kompany, Demichelis, Clichy, Navas, Fernandinho, Toure, Silva, Dzeko, Aguero
Akiba: Caballero, Zabaleta, Mangala, Milner, Fernando, Nasri, Lampard

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog