Arsenal iliichapa AS Monaco 2-0 kwao Stade Louis II Jijini Monaco ambako hawajafungwa tangu 2005 lakini wametupwa nje ya UEFA kwa Bao za Ugenini na hii ni mara ya 5 mfululizo kwa Arsenal kushindwa kutinga Robo Fainali.
Arsenal walifungwa kwao Emirates Bao 3-1 na matokeo ya usiku huu kufanya Jumla ya Mabao kwa Mechi mbili kuwa 3-3 na AS Monaco kutinga Robo Fainali kwa Ubora wa Bao za Ugenini.
Hii ni mara ya kwanza kwa AS Monaco kufika Robo Fainali tangu 2004.
Dakika ya 79 kipindi cha pili Aaron Ramsey aliwapachikia bao la pili na kufanya 2-0 dhidi ya As Monaco.Nje!Kocha Wenger akitoka Uwanjani baada ya kupokea matokeoGibbs akiwa kichwa chini!Mdebwedooo!Masikitiko Makubwa!!Kilio kwa Mesut Ozil!!Upande mwingine furaha ....harusi!!Kocha wa As Monaco akiwa aamini!!Mtajiju!! Tunasonga mbele sisi!!
Santi Cazorla akijionea Arsenal wakitupwa nje kwenye Champions Ligi huko Monaco usiku huu ambapo waliweza kuifunga bao 2-0 lakini bao la Ugenini kuibeba Monaco
Wachezji wa Monaco pamoja na Baadhid ya Viongozi wakishangilia baada ya kuiondosha Arsenal kwenye Uefa Champions League.
Yannick Ferreira Carrasco akishangilia baada ya mpira kumalizika
Olivier Giroud hoi
Mesut Ozil hivyo hivyo nae kachoka mbaya!!
Giroud aliwapa matumaini baada ya kufunga bao lakini mambo yakawa tofauti kwenye bao la Ugenini
0 maoni:
Post a Comment