Thursday, March 5, 2015


 Hili jiwe la barafu kama unavyoliona limedondoka kutoka angani wakati mvua ikinyesha.

 Haya ni mahindi angalia yalivyofanywa na mvua hiyo ya mawe yakiwa shambani.


Mlolongo wa Magari yakiwa katika eneo la tukio mapema leo
 Mkuu wa Wilaya ya Kaahama Benson Mpesya Akizungumza na wananchi wa eneo hilo la Mwakata kulikotokea janga hilo ambapo watu 38 wamekufa na wengine 82 kujeruhiwa.














0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog