Friday, March 6, 2015




Wanafunzi wakisoma Risala mbele ya Viongozi waliohudhuria hafra hiyo katika shule ya Msingi Bunena wakati wa Kukabidhi Msaada wa Madawati.

Risala ikikabidhiwa kwa mgeni Rasmi Meneja wa TTCL Bw. Salum Mbaya(kulia).
Na Faustine Ruta, BukobaKwa niaba ya Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu (TTCL) leo Kampuni hiyo imekabidhi Madawati 50 yenye thamani ya Tsh 2.5 Milioni. Kila Dawati lina uwezo watoto 3 hivyo watoto 150 wataweza kukaa katka Madawati hayo. Msaada huo ikiwa ni kuitikia Wito wa kuchangia Maendeleo ya Elimu Mkoa wa Kagera na hatimae Taifa zima.





0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog