Sunday, February 22, 2015

 

David Silva dakika ya 51 na 53 kaifungia bao mbili Man City na kufanya bao kuwa 5-0 Kwenye Uwanja wa Nyumbani Etihad.Ushindi huu wa City unawakalisha nafasi ya pili wakiwa wakiwa na pointi 55 pointi tano tu nyuma ya Vinara Chelsea wenye pointi 60 baada ya kukomaliwa sare ya 1-1 na Burnley Nyumbani kwao Stamford Bridge leo.
Samir Nasri dakika ya 12 kipindi cha kwanza akipeta baada ya kupata bao.Manchester City walipata bao mapema la mkwaju wa penati dakika ya 2 na bao la pili lilitiwa kimiani na Samir Nasri dakika ya 12 na Edin Dzeko kuishona bao la tatu na kufanya 3-0 kipindi cha kwanza.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog