Ligi
Kuu England wikiendi hii baada ya wiki mbili kupisha Mechi za Kimataifa
na Mabingwa Watetezi Manchester City ndio watafungua dimba Jumamosi
wakiwa kwao Etihad.
City wataanza mapema Jumamosi kucheza na Tottenham Hotspur na kisha kufuata Mechi 6 zitakazoanza Saa 11 Jioni ambapo Arsenal watakuwa Nyumbani kucheza na Hull City na Chelsea Ugenini kucheza na Crystal Palace.
Jumapili zipo Mechi mbili moja ikiwa ya Liverpool wakiwa Ugenini kucheza na QPR.
Mechi pekee ya Jumatatu Usiku ni ile ya The Hawthorns pale West Bromwich Albion watacheza na Manchester United.
RATIBA - LIGI KUU ENGLAND
Jumamosi Oktoba 18
14:45 Man City v Tottenham
17:00 Arsenal v Hull
17:00 Burnley v West Ham
17:00 Crystal Palace v Chelsea
17:00 Everton v Aston Villa
17:00 Newcastle v Leicester
17:00 Southampton v Sunderland
Jumapili Oktoba 19
15:30 QPR v Liverpool
18:00 Stoke v Swansea
Jumatatu Oktoba 20
22:00 West Brom v Man United

0 maoni:
Post a Comment