Wakati akiumiza kichwa kuhusu namana gani ya kuifungia Liverpool magoli,
Super Mari Baloteli amepata mtihani mwingine baada ya serikali ya
Uingereza kuzuia nguruwe wake kuingizwa nchini humo, mpaka atakapo nunua
kibali cha ufugaji.
Baloteli: Hakuna kitu kinachofuhisha kama kuishi karibu na nguruwe wangu.
|
Serikali ya Uingereza imesema ni lazima Baloteli ajisajili katika chama
cha ufugaji nchini Uingereza ndipo apewe fursa ya kumuingiza nguruwe
wake, lakini pia wamesisitiza ni lazima serikali ya Italy impe nguruwe
huyo ambaye ni "jike" cheti kinacho dhibitisha utimamu wa afya yake.
Tangu Baloteli ajiunge na Liverpool msimu huu, amefanikiwa kufunga goli moja tu katika michezo yote aliyocheza.
0 maoni:
Post a Comment