Mwenyekiti wa Azam fc, Said Muhammad Said (wa pili kulia) akipokea jezi mpya kutoka NMB
BENK
NMB imeingia mkataba wa udhamini wa miaka miwili na mabingwa wa ligi
kuu soka Tanzania bara, Azam fc, utaohusisha gharama za usafiri na
baadhi ya nyingine za uendeshaji wa timu.
Mwenyekiti
wa Azam fc, Said Muhammad Said amewaambia waandishi wa Mjengwa blog
makao makuu ya klabu hiyo yaliyopo, Azam Complex, Mbande, Chamazi, nje
ya jiji la Dar es salaam kuwa mkataba huo utaanza utekelezaji mara moja
0 maoni:
Post a Comment