Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mathias Chikawe (wapili kulia) akimshukuru Ofisa wa Mawasiliano na
Uhusiano wa Kampuni ya Vodacom Tanzania, Georgia Mutagahywa (kushoto)
baada ya kupokea hundi yenye thamani ya Sh. Milioni 40 msaada uliotolewa
kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani inayotarajiwa
kufanyika mwishoni mwa mwezi Septemba mwaka huu, jijini Arusha. Wapili
kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, na kulia ni
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Naibu Kamishna, Mohamed
Mpinga. Makabidhiano hayo yalifanyika katika Ukumbi wa Wizara hiyo,
jijini Dar es Salaam leo.

Mathias Chikawe (wapili kulia) akizungumza na waandishi wa habari
(hawapo pichani) baada ya kupokea hundi ya Sh. Milioni kwa ajili ya
maandalizi ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani, kutoka kwa Ofisa wa
Mawasiliano na Uhusiano wa Kampuni ya Vodacom Tanzania, Georgia
Mutagahywa (watatu kulia). Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani
inatarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Septemba mwaka huu, jijini
Arusha. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil. Wapili
kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, na kushoto
ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Naibu Kamishna, Mohamed
Mpinga. Makabidhiano hayo yalifanyika katika Ukumbi wa Wizara hiyo,
jijini Dar es Salaam leo. Picha zote na Felix Mwagara wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi.
0 maoni:
Post a Comment