Baada
ya kuwa marafiki kwa zaidi ya miaka minane Dotto Paul Kahindi
(Mandolin) na Elizabeth Riziki Morris Nguma, Agosti 9, 2014 Mungu
amewajalia kufunga pingu za maisha kwenye kanisa la Katoliki Parokia ya
Mt. Francis wa Assis, mjini Biharamulo, Kagera.
Dotto Paul Kahindi (Mandolin) na
mkewe Elizabeth Morris Nguma katika pozi muda mfupi baada ya kufunga
ndoa kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya Mt. Francis wa Asis, Biharamulo,
Kagera.
Mr&Mrs Dotto na wapambe wao Mr&Mrs Frank katika
pozi muda mfupi baada ya kufunga ndoa kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya
Mt. Francis wa Asis, Biharamulo, Kagera.
pozi muda mfupi baada ya kufunga ndoa kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya
Mt. Francis wa Asis, Biharamulo, Kagera.
Bibi Harusi akiwa na mpambe wake katika
pozi muda mfupi baada ya kufunga ndoa kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya
Mt. Francis wa Asis, Biharamulo, Kagera
pozi muda mfupi baada ya kufunga ndoa kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya
Mt. Francis wa Asis, Biharamulo, Kagera
Mr&Mrs Dotto, wapambe wao Mr&Mrs Frank, pamoja na wasimamizi wa ndoa hiyo Mr&Mrs Wema Rusasa katika
pozi muda mfupi baada ya kufunga ndoa kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya
Mt. Francis wa Asis, Biharamulo, Kagera
pozi muda mfupi baada ya kufunga ndoa kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya
Mt. Francis wa Asis, Biharamulo, Kagera
Bibi Harusi na Mameid
Mr&Mrs Dotto (Mandolin) na wapambe wao Mr&Mrs Frank katika
picha ya pamoja na wazazi wa pande zote mbili
picha ya pamoja na wazazi wa pande zote mbili
Maharusi wakiwa na wapambe wengine
Bwana harusi ni Baunsa sana tu
Mr&Mrs Dotto Paul (katikati)
wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya ndugu zao, kutoka kulia ni
Mdogo wa bwana harusi Samweli, Kaka wa bibi harusi Deogratius, kaka wa
bwana harusi Peter Kulwa na kaka wa bibi harusi Raygan
Bwana Harusi Dotto Paul na Bibi
Harusi Elizabeth Riziki wakila kiapo wakati wa misa ya ndoa iliyofanyika
kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya
Mt. Francis wa Asis, Biharamulo, Kagera
Mt. Francis wa Asis, Biharamulo, Kagera
Tumepokea vyeti
Mr&Mrs Dotto Paul wanameremeta
Mr&Mrs Dotto Paul katika picha
ya pamoja na kamati ya harusi yao iliyofanyika kwenye ukumbi wa Rest
mjini, Biharamulo, Kagera
Utambulisho
Wakati wa chakula
Mama wa bwana harusi Mary Charles Kahindi
0 maoni:
Post a Comment