Msanii
wa kundi kijulikanacho kama International, Moses Nyama akiwaongoza
wenzake wakati wa onyesho la Serengeti fiesta 2014, lililofanyika jana
jioni Uwanja wa Kaitaba, mjini Bukoba. Tamasha hilo linadhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager.
Msanii wa bongo fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz‘, akiwapa mkono baadhi ya mashabiki wake katika tamasha la Serengeti fiesta katika Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba jana jioni. Tamasha hilo linadhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager.
Msanii
maarufu wa nyimbo za asili, Saida Karoli, akilitawala jukwaa wakati wa
onyesho la Serengeti fiesta lililofanyika katika Uwanja wa Kaitaba Mjini
Bukoba jana jioni. Tamasha hilo linadhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager.
Mbunge
wa Bukoba Mjini, Balozi. Khamis Kagasheki (kulia), akimpongeza mmoja wa
wasanii walioshinda katika Mashindo yaliyojulikana kama dansi la
Serengeti fiesta 2014, Joylen Hamis, wakati wa tamasha la serengeti
fiesta kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba jana jioni. Wa pili ni
Meneja wa Bia ya Serengeti, Rugambo Rodney. Tamasha hilo linadhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager.
Msanii
wa muziki wa bongo fleva , Barnaba boy akifanya vitu katika onesho la
Serengeti fiesta katika uwanja wa kaitaba mjini Bukoba jana jioni.Tamasha hilo linadhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager.
Umati
wa wakazi wa mji wa Bukoba na maeneo ya jirani wakishangilia wakati
wasanii wakongwe wa miondoko ya kiasili na kizazi kipya wakitoa burudani
katika tamasha la Serengeti fiesta lililofanyika katika Uwanja wa
Kaitaba, mjini humo jana jioni. Tamasha hilo linadhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager.
Mmoja
wa wasanii waliong’ara katika tamasha la Serengeti fiesta lililofanyika
juzi, Ney wa Mitego akikonga nyoyo za mashabiki katika tamasha la
Serengeti fiesta katika Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba jana jioni.Tamasha hilo linadhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager.
Msanii wa bongo fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz‘, akiimba katika tamasha la Serengeti fiesta katika Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba jana jioni.Tamasha hilo linadhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager.
Meneja wa Bia ya Serengeti, Rugambo Rodney (kulia) akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Bukoba, Mama Zipora Pangani wakati wa tamasha la Serengeti fiesta katika uwanja wa kaitaba mjini Bukoba jana jioni. Tamasha hilo linadhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager.
0 maoni:
Post a Comment