Saturday, June 14, 2014


Muuaji kwa Timu ya Cameroon, Oribe Peralta akishangilia baada ya kuwapachikia bao lake la Ushindi kwa timu ya Mexico usiku huu kwenye mchozo wa Kundi A Kombe la Dunia 2014 huko Brazil. Mtanang uliopigwa kuanzia saa 1:00 usiku Oribe Peralta akiifungia bao pekee la Ushindi timu yake ya Mexico katika kipindi cha pili dakika ya 61Ilikuwa ni Patashika kwenye lango la Cameroon....Piga ni kupige wakapata bao kupitia kwa mchezaji wao Oribe Peralta.Oribe Peralta akimfunga kipa wa Cameroon CharlesGiovani dos Santos of Mexico reacts after he has a goal disallowedGiovan Dos Santos akilalamikia bao lakeAndres Guardado of Mexico controls the ball as Benjamin Moukandjo of Cameroon gives chaseAndres akimwendesha BenjaminAlex Song of Cameroon looks on Alex Song wa CameroonA general view of the fans in the stands as rain pours downMashabiki Uwanjani wameutazama huku kukiwa na Mvua Giovani dos Santos of Mexico puts the ball in the net but the goal was disallowed due to an offsides call Mchezaji wa Mexico Giovan Dos Santos akitupia na bao kukataliwaSamuel Eto'o katikati akimiliki mpira A general view as the teams line up for the national anthems Mapema timu zote mbili Uwanjani

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog