Saturday, November 23, 2013

Kundi la P-Square la nchini Nigeria ambalo huundwa na mapacha Peter na Paul Okoye, leo limekutana na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa mikutano uliopo katika hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro jijini Dar es Salaam kuzungumzia show yake ya Jumamosi hii Leaders Club.
IMG_7820
IMG_7825
Mkuu wa Masoko wa Vodacom Kelvin Twissa .
IMG_7839

Mkuu wa East Africa Radio, Nasser Kingu
P-Square wakiwa kwenye picha ya pamoja na wasanii wengine wakiwemo Profesa Jay, Ben Pol na Joh Makini P-Square wakiwa kwenye picha ya pamoja na wasanii wengine wakiwemo Profesa Jay, Ben Pol na Joh Makini
P-Square wakiongea na wasanii wa nyumbani baada ya kuwasiliana kwenye mkutano na waandishi wa habari
Peter Okoye akiongea na waandishi wa habariPeter Okoye
Peter Okoye (kulia) akisalimiana na Profesa Jay na Ben Pol
Ben Pol na Profesa Jay
IMG_7854
IMG_7835
IMG_7808
IMG_7804
IMG_7791
IMG_7790
IMG_7783
IMG_7789Source: BAZIRA

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog