Juan Mata(kushoto) akipongezwa na wenzake kwa bao lake la pekee katika mchezo huo wa marudiano.cha
pili dakika ya 70 Juan Mata aliwafungia Man United bao na kubadilisha
matokeo ya awali na kuwa (2-1 kwenye Agg.) Hku katika Mchezo huo wa
raundi ya 16 Man United wakimbadilisha Paul Pogba dakika ya 48 aliyeumia
na kuondolewa na nafasi yake kuchukuliwa na Fellaini. Manchester United
pia walimbadilisha Beki Blind dakika ya 64 na kumuingiza Jones. Pia
katika mchezo huo Zlatan alicheza vyema kipindi cha kwanza na kidogo
afunge aligonga mwamba.Hadi dakika 45 za kipindi cha kwanza zinamalizika Man Unied 0 Rostov 0.
0 maoni:
Post a Comment