Monday, December 28, 2015

Nemanja akimiliki mpira dhidi ya Morgan wa Manchester UnitedGiggs na Van GaalMeneja wa Chelsea GuusSir Alex Ferguson Selfie...John Obi alioneshwa kadi ya Njano Kipa de Gea akiokoa mpira langoni mwakeMashabiki ndani ya Old Trafford wameshuhudia kwa mara ya kwanza Man United ikitawala na kutandaza Soka safi lakini kushindwa kufunga na kupata ushindi baada ya kutoka 0-0 na Mabingwa Watetezi Chelsea.Man United walitawala Mechi hii na kukosa nafasi ya kushinda ili kumpa afueni Meneja wao Louis van Gaal ambae anasakamwa baada ya kutoshinda katika Mechi 8 zilizokwisha vikiwemo vipigo vinne kabla ya Mechi hii.chupuchupu!Matic ni Shidaaa kakosa nafasi kubwa ya kufunga bao ...pale alipokutana uso kwa uso na kipa David de Gea, Katika kipindi cha pili.Kwa Chelsea Mechi hii nayo ni Sare ya Pili mfululizo kwa Meneja mpya Guus Hiddink alietwaa wadhifa baada ya kutimuliwa Jose Mourinho Wiki iliyopita.Martial kazini...Kipindi cha kwanza kinaendelea....bado ni 0-0Juan Mata kagonga mwamba wa Lango la ChelseaGuus akitet jambo na Pedro!

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog