Proin
Promotions Ltd imefanikiwa kuingiza filamu zake nne katika Shindano la
Africa Magic Viewers Choice Awards 2016 (AMVCA 2016) katika vipengele
viwili huku Filamu zote nne zikiingia katika Kipengele Kimoja cha BEST
MOVIE - EAST AFRICA filamu zilizoingia katika kipengele hiko ni MAPENZI
YA MUNGU, KITENDAWALI, MPANGO MBAYA, DADDY’S WEDDING huku filamu ya
KITENDAWILI ikiingia katika Kipengele kingine cha BEST INDIGENOUS
LANGUAGE MOVIE/TV SERIES – SWAHILI.
Filamu zote nne zimeingia katika kipengele kimoja zikichuana zenyewe huku mbili zikitokea nchini nyingine.
Tunawaomba
watanzania kuweza kuzipigia kura filamu hizi ili kuweza kuibuka
mshindi. Jinsi ya Kupiga kura fuata tovuti hii www.africamagic.tv
Washindi wa shindano hii wanatarajiwa kutangazwa Mwakani 2016 mwezi wa 3.
0 maoni:
Post a Comment