Mayweather na Pacquiao wakitupiana makonde ya Karne hii leo Asubuhi.
Floyd Mayweather akimtupia Konde Manny Pacquiao kwenye Ukumbi wa MGM Grand garden Arena huko Las Vegas leo hii
Pacquiao akirusha konde kwa Mayweather na kukingwa
Pacquiao na Mayweather wakitafutana ubaya!

Katika Raundi ya kwanza kati ya MAYWEATHER vs PACQUIAOJamie Foxx akiimba wimbo wa Taifa
Mc'sMke wa Manny Pacquiao JinkeeMwimbaji Mary J bligeParis Hilton
Huko Ufilipino watu waketi kusubiri mpambano wa KarneKwenye Mji wa Marikina huko Ufilipino watu wakiwa katika Maeneo ya Plaza, Suburban Manila wakisubiri pambano la Mbunge wao.Mwigizaji Don Cheadle akiwa na Bow Wow
Cayetano vs Santa CruzAmir Khan
0 maoni:
Post a Comment