BARCELONA 3 vs 0 BAYERN MUNICH,
Dakika ya 77 na dakika ya 80 Messi alitikisa nyavu!Lionel
Messi aliifungia bao safi kwa shuti kali baada ya kupewa pasi na Daniel
Alves na dakika chache baadae dakika ya 80 Lionel Messi aliwachoma bao
la pili na kufanya 2-0 dhidi ya Bayern Munich ya Ujerumani baada ya
kupewa mpira na Ivan Rakitic. Kimya kimya!!Messi pia alifanya kutoa pasi safi kwa Neymar aliyejaza bao la tatu na mtanange kumalizika kwa bao 3-0Hakuna majibu!!Umechelewa tangu asubuhi!!Hadi nyavuni mwako!!Messi akishangilia bao lake la kwanzaPisha njia!ZIKIWA
zimebaki dakika za nyongeza Neymar alitanguliziwa pasi na Messi na
kisha kuwachomoka mabeki na kwenda kufunga bao la tatu na kumwancha kipa
wa Bayern akiduwaa bila majibu.Neymar akifanya 3-0Neymar akishangilia bao lakeBarca wakipongezana mbele ya mashabiki wao Juan akimchomoka Iniesta wa Barca!
Neymar akiwania mpira wa KichwaSuarez dhidi ya Kipa ManuelSuarez!!Rafinha akipiga tiktaka!Chupuchupu Suarez achomeke bao!!Kipa Manuel akiokoa!Mpaka dakika 45 zinakatika hakuna mbabe, Timu zote mbili zilikuwa 0-0Kikosi cha Barcelona kilichoanza Wamekutana Mameneja timu zote mbili!Mchezaji wa zamani wa Arsenal na Mchambuzi wa soka kwa sasa Thierry Henry akiingia
VIKOSI:
Barcelona wanaoanza: Ter Stegen, Dani Alves, Pique, Mascherano, Alba, Rakitic, Busquets, Iniesta, Suárez, Messi, Neymar
Akiba: Bravo, Xavi, Pedro, Rafinha, Bartra, Adriano, Vermaelen
Bayern Munich wanaoanza: Neuer, Rafinha, Benatia, Boateng, Lahm, Alonso, Thiago, Bernat, Schweinsteiger, Müller, Lewandowski
Akiba: Reina, Dante, Martinez, Pizarro, Gaudino, Götze, WeiserMwali wa Klabu Bingwa huyoo!
Karibu!

0 maoni:
Post a Comment