Wednesday, April 15, 2015


Martinez celebrates putting Porto into a commanding 3-1 lead as Bayern have a night to forget in PortugalFC Porto walipata bao la kwanza kupitia kwa Ricardo Quaresma dakika ya 3 kwa mkwaju wa penati na bao la pili dakika ya 10 kupitia kwa mchezaji huyo huyo Ricardo Quaresma. Bao la Bayern Munich lilifungwa na Thiago Alcantara dakika ya 28 kipindi hicho cha kwanza na kufanya 2-1. 
Kipindi cha pili Jackson Martínez wa FC Porto alipewa pasi safi na Alex Sandro na kukatiza kwa mabeki na kumkaanga kipa wa Bayern na kumfunga bao la tatu na kufanya 3-1 dhidi ya Bayern Munich.
Jackson Martínez anafikisha bao 6 kwenye michezo 7 aliyocheza ya Klabu Bingwa Ulaya Msimu huu.
Porto earned an impressive 3-1 Champions League first leg victory against Bundesliga champions Bayern Munich on Wednesday night
Porto wameshinda 3-1 dhidi ya Vinara wa Ligi ya Ujerumani
Bayern goalkeeper Manuel Neuer brings down Porto striker Jackson Martinez to concede a third minute penalty 
Bayern kipa Manuel Neuer akimwangusha chini straika wa Porto Jackson Martinez
The Bayern players surround referee Carlos Velasco Carballo following his decision to award Porto a spot-kick
Wakimznga Mwamuzi
The 31-year-old forward had   
1-0
German star Neuer dives in the wrong direction as Quaresma calmly slot away the spot-kick with just three minutes on the clock
Kipa Neuer akifungwa bao na  Quaresma
Bayern boss Pep Guardiola looks perplexed as his side fall two goals behind during the early stages of the Champions League clash
Meneja wa Bayern Pep Guardiola kichwa chini baada ya kupigwa bao 3-1Porto's head coach Julen Lopetegui (left) shouts instructions to his team during the Champions League first-leg
Kocha wa FC Porto Julen Lopetegui akitafuta pointi
FC Porto vs Bayern Munich
VIKOSI:

Porto: Fabiano, Danilo, Maicon, Martins Indi, Alex Sandro, Herrera, Casemiro, Torres, Quaresma, Martinez, Brahimi.
Akiba: Helton, Quintero, Reyes, Evandro, Hernani, Ruben Neves, Aboubakar.

Bayern Munich: Neuer, Rafinha, Boateng, Dante, Bernat, Lahm, Alonso, Thiago, Muller, Lewandowski, Gotze.
Akiba: Reina, Pizarro, Gaudino, Rode, Badstuber, Weiser, Lucic.
Refa: Carlos Velasco Carballo

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog