Thursday, February 26, 2015

1
  • Miss Universe Tanzania 2014-2015 Nale Boniface akikata  keki na wanafunzi wenye matatizo ya Ngozi (ALBINO) wakati alipotembelea kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji cha  Salvatrion Arm jijini Dar es Salaam ikiwa ni madhimisho ya  siku yake ya kuzaliwa ambapo aliamua kuwapelekea zawadi  watoto hao.

2
Miss Universe Tanzania 2014-2015 Nale Boniface akiwalisha  Keki na wanafunzi wenye matatizo ya Ngozi (ALBINO) wakati  alipotembelea kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji cha  Salvatrion Arm jijini Dar es Salaam ikiwa ni madhimisho ya  siku yake ya kuzaliwa ambapo aliamua kuwapelekea zawadi  watoto hao.
3
Miss Universe Tanzania 2014-2015 Nale Boniface akigawa  madaftari kwa wanafunzi wenye mahitaji wakati alipotembelea  kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji cha Salvatrion Arm
 jijini Dar es Salaam ikiwa ni madhimisho ya siku yake ya  kuzaliwa ambapo aliamua kuwapelekea zawadi watoto hao.
4
Zawadi
6
Picha ya pamoja

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog