Friday, December 12, 2014


Ronaldo ndie aliyeanza kuwapa bao Real
Cristiano Ronaldo ndie aliyeifungulia bao la kwanza Real dakika ya 20 kwa mkwaju wa penati na Gareth Bale kufunga bao la pili dakika ya 38 na kipindi cha kwanza kumalizika kwa 2-0. Kipindi cha pili kilikuwa cha Álvaro Arbeloa aliyefunga katika dakika ya 79 na tena Álvaro Medrán alitupia nae tena dakika ya 88 dhidi ya Ludogorets Razgrad na mtanange kumalizika 4-0.2-0Mchezaji wa Real Madrid Gareth Bale akishangilia mara baada ya kuwafunga bao Ludogorets

Cristiano Ronaldo akipanga awatokeje mabeki wa Ludogorets

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog