Wachezaji wa Man City wakishangilia na kupongezana kwa bao lililofungwa na Aguero dakika 63Smalling ameoneshwa kadi nyekundu kipindi cha kwanza mwishoni dakika 39Ni Shida kwenye lango la Man United.Kipa wa United De Gea bado ni shida...kwenye hii Debi!!Wayne Rooney arudi kwenye Debi ya Manchester UnitedLEO Jumapili, Novemba 2, Uwanjani Etihad, Dabi ya Jiji la Manchester, Mechi inayongojewa na Mamilioni Duniani, itachezwa katika Mechi ya Ligi Kuu England wakati Wenyeji Manchester City watakapocheza na Mahasimu wao Manchester United.
Safari hii Man City wanatinga Uwanjani wakiwa ndio Mabingwa Watetezi na wapo Nafasi ya 3 kwenye Ligi wakiwa Pointi 2 nyuma ya Timu ya Pili Southampton na Pointi 6 nyuma ya Vinara Chelsea.
Man United wao wako Nafasi ya 8 na wakiwa Pointi 4 nyuma ya Man City.

0 maoni:
Post a Comment