Wednesday, November 19, 2014


Cristiano Ronaldo (left) of Portugal and Lionel Messi of Argentina (right) line up against one another at Old Trafford on TuesdayCristiano Ronaldo na Lionel Messi kwenye nyasi za Uwanja wa Old Trafford leo kwenye Mchezo wa kirafiki.
Raphael Guerreiro ndie ameipa ushindi Portugal katika dakika za nyongeza za kipindi cha pili kwenye dakika ya 90' +1. Bao lilitosha kuilaza Argentina kwa bao 1-0.Messi (left) looks on during the international friendly at Old Trafford as Ronaldo faces the other wayIlikuwa ni Messi V Ronaldo leo!Kwenye Uwanja wa Old Trafford palikuwa hapatoshi!! Kipindi cha kwanza Argentina waliutawala mpira lakini kipindi cha pili Portugal walikuja na mbinu na kuweza kuwabana na kupata bao dakika za majruhi kupitia kwa Raphael Guerreiro.Wote wawili ndio walikuwa Manahodha wa timu hizo, Messi akiongoza kikosi cha Argentina na Ronaldo Portugal.Wakisalimiana mbele ya WaamuziRonaldo (left) and Messi embrace before the match at Old Trafford as the teams walk by one another in the centre of the pitchTaswira!!! Ronaldo vs Messi nani kuibuka kinara!!? Old Trafford!Both Messi (left) and Ronaldo put their fingers to their noses and exchange a word during the friendly at Old TraffordKumbe Mnaongea!!!The Argentina star (left) and the Portuguese forward enjoy a joke and exchange some words during the match on TuesdayAlama  za kuongea pamoja hizi!!Ronaldo and Messi (right) grip each others hands and embrace before the match at Old Trafford on Tuesday
Wawili hao walipiga stori za kutosha tu kabla ya mchezo wa kirafiki kati ya Argentina na Ureno haujaanza kwenye Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester, England, leo.
Hata hivyo, walizungumza kwa staili ya aina yake kila mmoja akiziba mdomo wake.

An Argentina supporter holds his Messi vs Ronaldo scarf above his head outside Old Trafford before the game

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog