Wednesday, December 11, 2013

unnamed_24e2b.jpg
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete 
wakiwa na Rais Mstaafu wa Marekani Mhe George W. Bush 
  na Mkewe Laura Bush 
wakiwa jukwaa la viongozi na watu mashuhuri
 baada ya Kuadhimisha Kumbukumbu
 ya Kifo cha aliyekuwa kiongozi 
mashuhuri wa Afrika Kusini na duniani, 
Mheshimiwa Nelson R Mandela leo 
Desemba 10, 2013 katika uwanja wa FNB jijini Johannesburg.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
 Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo,
 Jumanne, Desemba 10, 2013, ameungana na
 viongozi wa mataifa mbali mbali duniani 
na maelfu ya wananchi wa Afrika Kusini 
Kuadhimisha Kumbukumbu ya Kifo cha aliyekuwa
 kiongozi mashuhuri wa Afrika Kusini na duniani,
 Mheshimiwa Nelson R Mandela. Maelfu kwa
 maelfu ya wananchi wamehimili mvua kubwa
 iliyokuwa inanyesha kwa nguvu kwenye Uwanja
 wa Michezo wa FNB mjini Johannesburg 
kumwaga Mzee Mandela ambaye alikuwa
 ishara kuu ya upinzani wa siasa za ubaguzi
 wa rangi za makaburu wa Afrika Mashariki
unnamed_1_ddc1a.jpg
unnamed_2_cdb96.jpg


0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog