Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata
utepe kuzindua rasmi kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food
Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba
6, 2016.
Waziri
wa viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage (kushoto) na
katibu Mkuu wake Dkt. Adelhelm Meru wakiongea na Mwenyekiti wa makampuni
ya Bakhressa Group Mzee Said Salim Bakhressa wakati wakimsubiri Rais wa
jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili
kwenye sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha
Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa
Pwani leo Oktoba 6, 2016
Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Bakhressa Bw. Abubakar Bakhressa
(kushoto) akibadilishana mawazo na maafisa waandamizi wake wakati
wakimsubiri Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli kuwasili kwenye sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika
matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga
mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016.
Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa
na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage kwenye
sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food
Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba
6, 2016
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akilakiwa na Mwenyekiti wa makampuni ya Bakhressa Group Mzee Said
Salim Bakhressa kwenye sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika
matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga
mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mhe Filberto Hassan Sanga
alipowasili kwa ajili ya sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika
matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga
mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akilakiwa na Katibu Mkuu Waziri wa viwanda, Biashara na Uwekezaji
Dkt. Adelhelm Meru alipowasili kwa ajili ya sherehe za ufunguzi wa
kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini
Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016.
Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa
na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi
Joseph Malongo.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mbunge wa Mkuranga Mhe. Abdallah Ulega.
Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa
na Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Bakhressa Bw. Abubakar Bakhressa.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akilakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Bakhressa Bw. Abubakar
Bakhressa.
Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa
na Mtendaji Mkuu (CEO) Wa Bakhressa Food Products LTD Bw. Salim Aziz
Salim.

Salim
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na afisa mwandamizi Bakhressa Food Products LTD.

wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, kamanda Boniventure
Mushongi.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na viongozi wa mkoa wa pwani.
Mbunge wa Mkuranga Mhe Abdallah Ulega akifurahia baada ya Rais wa
jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuzindua rasmi
kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini
Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016.
Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembezwa
baada ya kukizindua rasmi kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa
Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo
Oktoba 6, 2016.

akitembezwa baada ya kukizindua rasmi kiwanda cha kusindika matunda cha
Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa
Pwani leo Oktoba 6, 2016.
Afisa
Uhusiano wa Bakhresssa Group akitoa muhtasali wakati wa ufunguzi rasmi
wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini
Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016.
Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiteta
jambo na Mwenyekiti wa makampuni ya Bakhressa Group Mzee Said Salim
Bakhressa.
Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Bakhressa Bw. Abubakar Bakhressa akisoma risala kwenye shere hizo.
Mbunge wa Mkuranga Mhe abdallah Ulega akisema machache.
Wafanyakazi na wageni waalikwa.
Wafanyakazi na wageni waalikwa.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akisoma ripoti kuhusu viwanda na uwekezaji mkoani humo.
Mshereheshaji Charles Hilary akiwa kazini.
Wafanyakazi na wageni waalikwa.
Waziri
wa viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage akiongea
machache kabla ya kumkaribisha Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli kuhutubia.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa sherehe hizo.

Wafanyakazi na wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa
sherehe hizo.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea kuhutubia wakati wa sherehe hizo.

Mbunge
wa Mkuranga Mhe Abdallah Ulega akimshukuru Rais wa jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa kutambua mchango wake katika
kuleta maendeleo jimboni wakati akiendelea kuhutubia.

wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akaga
baada ya kuzindua rasmi kiwanda hicho na kisha kuhutubia wakati wa

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu.
Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika
picha ya kumbukumbu na meza kuu na baadhi ya viongozi wa mkoa wa pwani

picha ya kumbukumbu na meza kuu na maafisa waandamizi wa Bakhressa
Group
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na wafanyakazi wa Bakhressa Food
Products Ltd.
Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika
picha ya kumbukumbu na meza kuu na wanahabari waliohudhuria na wa Azam
Media.

wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana
na Bw. Charles Hilary wa Azam TV Bw. Dunstan Tido Mhando.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana Bw. Dunstan Tido Mhando. PICHA NA IKULU