Odegaard - Real MadridKyle kutoka Spurs kwenda Swansea CityLucas Silva kwenda Real MadridJoel Campbell - Arsenal kwenda VillarrealSamuel Eto'o Everton - Sampdoria - BureJordan Mutch QPR - Crystal PalaceShola Ameobi - Crystal Palace
Saturday, January 31, 2015
1:20 AM
Unknown
Odegaard - Real MadridKyle kutoka Spurs kwenda Swansea CityLucas Silva kwenda Real MadridJoel Campbell - Arsenal kwenda VillarrealSamuel Eto'o Everton - Sampdoria - BureJordan Mutch QPR - Crystal PalaceShola Ameobi - Crystal Palace
Thursday, January 29, 2015
8:57 PM
Unknown
RATIBA:
Jumamosi Januari 31
15:45 Hull v Newcastle
18:00 Crystal Palace v Everton
18:00 Liverpool v West Ham
18:00 Man United v Leicester
18:00 Stoke v QPR
18:00 Sunderland v Burnley
18:00 West Brom v Tottenham
20:30 Chelsea v Man City
Jumapili Januari 18
16:30 Arsenal v Aston Villa
19:00 Southampton v Swansea
MSIMAMO ULIVYO KWA SASA:
Barclays Premier League
- Barclays Premier League
- Sky Bet Championship
- Football League 1
- Football league 2
- Scottish Premiership
- UEFA Champions League
- UEFA Champions League Qualification
- UEFA Europa League
- UEFA Europa League Qualification
- FA Cup
- Capital One Cup
- Community Shield
- International
- Ligue 1
- Serie A
- La Liga
- Bundesliga
- Euro 2016 Qualifying Rounds
POS | LOGO &TEAM | P | W | D | L | GD | PTS |
---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | Chelsea | 22 | 16 | 4 | 2 | 32 | 52 |
2 | Manchester City | 22 | 14 | 5 | 3 | 23 | 47 |
3 | Southampton | 22 | 13 | 3 | 6 | 21 | 42 |
4 | Manchester United | 22 | 11 | 7 | 4 | 15 | 40 |
5 | Arsenal | 22 | 11 | 6 | 5 | 14 | 39 |
6 | Tottenham Hotspur | 22 | 11 | 4 | 7 | 2 | 37 |
7 | West Ham United | 22 | 10 | 6 | 6 | 10 | 36 |
8 | Liverpool | 22 | 10 | 5 | 7 | 4 | 35 |
9 | Swansea City | 22 | 8 | 6 | 8 | -4 | 30 |
10 | Stoke City | 22 | 8 | 5 | 9 | -4 | 29 |
11 | Newcastle United | 22 | 7 | 6 | 9 | -9 | 27 |
12 | Everton | 22 | 5 | 8 | 9 | -4 | 23 |
13 | Crystal Palace | 22 | 5 | 8 | 9 | -8 | 23 |
14 | West Bromwich Albion | 22 | 5 | 7 | 10 | -9 | 22 |
15 | Aston Villa | 22 | 5 | 7 | 10 | -14 | 22 |
16 | Sunderland | 22 | 3 | 11 | 8 | -14 | 20 |
17 | Burnley | 22 | 4 | 8 | 10 | -15 | 20 |
18 | Hull City | 22 | 4 | 7 | 11 | -10 | 19 |
19 | Queens Park Rangers | 22 | 5 | 4 | 13 | -16 | 19 |
20 | Leicester City | 22 | 4 | 5 | 13 | -14 | 17 |
8:56 PM
Unknown
Ujumbe wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) upo nchini kuchunguza tuhuma za upangaji matokeo.
Waamuzi waliosimamishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) pamoja na watu wengine watahojiwa na ujumbe huo. Matokeo ya uchunguzi huo yatatangazwa na FIFA baada ya shughuli hiyo kukamilika.
Tunaendelea kuwahimiza wanafamilia wa mpira wa miguu wazidi kuzingatia kanuni za maadili za TFF, Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) na FIFA katika utendaji wao. FIFA itahakikisha kuwa haki inatendeka katika uchunguzi ambao inaufanya.

8:53 PM
Unknown
2-3(Ag
2-4) ndivyo majibu yalivyokuwa mpaka dakika ya mwisho ya dakika ya 90
na Barca kuibuka na Ushindi huku mchezaji wao matata Neymar akiifungia
bao 2.Neymar
aliwafungia bao la tatu Barcelona baada ya kuwachomoka mabeki wa
Atletico Madrid kwa kuwakacha na Jordi Alba kutoa pasi aliyoimalizia
Langoni Neymar katika dakika ya 41.
Bao la kusawazisha Barca wamejifunga wenyewe Atletico Madrid kupitia kwa Miranda katika dakika ya 38 baada ya kumalizia mpira uliopigwa kona.
Dakika ya 30 Raúl GarcÃa aliifungia bao la pili Atlletico Madrid na kufanya 2-1 kwa mkwaju wa penati. Katika Mechi ya Kwanza iliyochezwa Nou Camp Wiki iliyopita, Barcelona waliibuka washindi kwa Bao 1-0 kwa Bao la Dakika ya 85 la Lionel Messi ambalo alilifunga baada ya Penati yake kuokolewa na Kipa na Mpira kumrudia tena na kuukwamisha wavuni na hivyo Barcelona kusonga Nusu Fainali kwa Jumla ya Mabao 4-2 na watakutana na Mshindi kati Getafe na Villareal ambao katika Mechi yao ya kwanza, Villareal alishinda Bao 1-0.
Kwenye Mechi ya usiku huu, Fernando Torres aliipa Atletico Bao la kuongoza na Neymar kusawazisha.
Kisha Penati ya Raul Garcia ikawapa Atletico Bao la Pili lakini Beki wao Miranda akajifunga mwenyewe na Neymar akaipa Barca Bao la 3 na la ushindi.
Balaa kwa Atletico lilikuja pale Gabi alipopewa Kadi Nyekundu wakati wa Haftaimu Wachezaji wakielekea Vyumba vya Kubadili Jezi na Mario Suarez kufuatia mwishoni.
Dakika ya 9 Neymar aliwasawazishia bao barcelona na kufanya 1-1 (Agg ikiwa 1-2). Bao hilo lilipatikana baada ya Luis Suarez kutoa pande kwa Neymar.Dakika ya 1 tu Fernando Torres anaichapa bao Barca na kufanya 1-0 dhidi ya Timu ya Barcelona baada ya kupata mpira kutoka kwa Guilherme Siqueira.1-0 Torres aliweka bao la kwanza mapeeema ndani ya dakika 1Mechi ya Kwnza Messi aliifungia bao BacaVIKOSI:
ATLETICO MADRD XI (4-4-1-1): Oblak; Juanfran, Miranda, Gimenez, Siqueira; Gabi, M Suarez, Raul Garcia; Ardia, Griezmann, Torres
AKIBA: Moya, Gamez, Lucas, Saul, Cani, Jimenez, Mandzukic
BARCELONA XI (4-3-3): Stegen; Pique, Mascherano, Alba, Alves; Busquets, Iniesta, Rakitic; L Suarez, Messi, Neymar
AKIBA: Masip, Xavi, Pedro, Rafinha, Bartra, Adriano, Mathieu

You might also like:
Subscribe to:
Posts (Atom)