Jana
huko Parc des Princes Jijini Paris Nchini France Mabingwa wa huko Paris
St Germain waliifumua Barcelona 4-0 katika Mechi ya Kwanza ya Raundi ya
Mtoano ya Timu 16 ya UCL, UEFA CHAMPIONS LIGI. Kwenye Mechi nyingine ya Raundi hiyo Benfica iliichapa Borussian Dortmund 1-0.
Kipigo hiki kinaiweka Barca pagumu kufuzu kwenda Robo Fainali na wakishindwa hilo hii itakuwa mara ya kwanza kwao kutotinga Robo Fainali katika Miaka 10.
RSS Feed
Twitter
4:37 AM
Unknown