
Straika mpya wa Liverpool amefanya mazoezi yake ya kwanza leo na Wenzake Liverpool tangu ajiunge na Klabu hiyo kwenye Uwanja wa Mazoezi wa Melwood.

Benteke akiteta na Mario Balotelli kwa furaha wakati wa Mazoezi

Benteke akiwa karibu na mgeni mwenzake Roberto Firmino

Benteke akipiga kichwa mpira

Benteke akipeana mpira na Philippe Coutinho, aliyecheza Copa America msimu huu

Benteke na mpira

Kutua kwa Benteke ni habari nyingine Balotelli na Fabio Borini wana kazi ya ziada

Balotelli, Emre Can, Coutinho, na Benteke wakati wanapasha kujiandaa na msimu mpya wa 2015/2016

Picha ya Pamoja
RSS Feed
Twitter
10:42 PM
Unknown
Mshambuliaji wa Liverpool Mario Balotelli ameambiwa kuwa hatima yake ipo mikononi mwake.

Danny Ings akiwachomoka wachezaji wawili wa Felda United


Adams akichuana na Oscar
Victor Moses
Wachezaji wa Chelsea wakipongezana bao lao
Diego Costa akituliaza mpira
Costa chupuchupu apate bao hapa
Eden Hazard akiruka juu kumpita adui
Ramires akiparanganyika kwenye patashika kuutafuta mpira

















