Steven Gerrard nae ndani akishuhudia timu yake ya zamani LiverpoolLiverpool XI: Mignolet, Clyne, Sakho, Skrtel, Moreno, Lucas, Can, Lallana, Ibe, Coutinho, Benteke
Akiba: Bogdan, Lovren, Firmino, Allen, Origi, Brannagan, Teixeira
Crystal Palace XI: Hennessey, Kelly, Dann, Delaney, Souare, Zaha, Cabaye, McArthur, Puncheon, Sako, Bolasie
Akiba: Speroni, Ward, Hangeland, Ledley, Mutch, Bamford, Wickham
RSS Feed
Twitter
12:14 AM
Unknown

Mpaka dakika 90 zinakatika hakuna bao!
Meneja mpya Remi Garde wa Aston Villa nae kashuhudia sare hiyo iliyokuwa ya aina yake Villa Park!
Mashabiki
wakionesha mfano wa nyoka juu wakimaanisha juu ya mchezaji Fabian
aliyehamia City na leo kuonekana Uwanjani dhidi ya Timu yake ya zamani
Villa.
Kipa wa City Joe akipangua mpira kwenye eneo la hatari
Navas akipagawa baada ya kukosa nafasi ya wazi kufunga bao
Kompany akimiliki mpira
Meneja wa City akitoa maelekezo kwa wachezaji wake Uwanjani
Scott akimtoka Kevin
Ayew na Kompany wakichuana vikali
Kevin de B. 


1-0


Mashabiki
Hazard kaanza..