Bao la kwnza limefungwa na Dele Alli dakika ya 39 kipindi cha kwanza na kipindi cha pili Wayne Rooney dakika ya 48.
Mchezo huu ukiongozwa na Mwamuzi Jonas Eriksson
10:26 PM
Unknown
10:25 PM
Unknown
10:23 PM
Unknown
Ijumaa
iliyopita, Wachezaji wa Man United waliovaa Jezi za Nchi zao ni Michael
Carrick, Phil Jones, Chris Smalling, Wayne Rooney na Juan Mata ambao
walicheza wakati Spain inaichapa England 2-0, wakati Anthony Martial na
Morgan Schneiderlin walikuwa kwenye France iliyoichapa Germany ambayo
ilikuwa nayo Bastian Schweinsteiger huku Daley Blind akiichezea
Netherlands na Matteo Darmian akiichezea Nchi yake Italy.
10:21 PM
Unknown
Kikosi
cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kinachodhaminiwa na bia ya
Kilimanjaro Premium Lager, kitafanya mazoezi leo jioni saa 1 Algeria,
sawa na saa 3 usiku kwa saa za Afrika Mashariki katika uwanja wa
Mustapher Tchaker utakaotumika kwa mchezo wa leo jumanne dhidi ya
wenyeji Algeria.
10:21 PM
Unknown
10:20 PM
Unknown
Ligi
Daraja la Pili nchini (SDL) imeanza kutimua vumbi jana katika viwanja
12 mikoa mbali, huku timu 24 zikisaka nafasi nafasi nne za kupanda Ligi
Daraja la Kwanza msimu ujao wa 2016/2017.
10:12 PM
Unknown
RSS Feed
Twitter