Cristiano Ronaldo akshangilia bao lake la Penati
Dakika
ya 23 kipindi cha kwanza Cristiano Ronaldo anaipachikia bao la kwanza
Real Madrid kwa mkwaju wa Penati na kufanya 1-0 dhidi ya Juventus. Bao
hilo la Cristiano Ronaldo lilidumu na kuwapeleka mapumziko wakiwa mbele
na huku jumla ya magoli ya mtanange wa kwanza na huu japo bado dakika
ya 45 ikiwa ni (Agg 2-2).
Wachezaji wa Juve wakimjia juu Mwamuzi wa mtanange baada ya kutokea penati
Ronaldo chini akiutafuta mpira!VIKOSI:
Real Madrid wanaoanza: Casillas, Carvajal, Varane, Sergio Ramos, Marcelo, Rodriguez, Isco, Kroos, Bale, Benzema, Ronaldo
Real Madrid Akiba: Navas, Pepe, Fabio Coentrao, Hernandez, Arbeloa, Jese, Illarramendi
Juventus wanaoanza: Buffon, Lichtsteiner, Bonucci, Chiellini, Evra, Marchisio, Pirlo, Pogba, Vidal, Tevez, Morata
Juventus akiba: Storari, Coman, Llorente, Barzagli, Padoin, Sturaro, Pereyra



RSS Feed
Twitter
1:13 PM
Unknown