
LEO Jumatano Mabingwa Watetezi wa UEFA CHAMPIONS LIGI Real Madrid wanarudi tena Veltins-Arena, Mjini Gelsenkirchen huko Germany ambako Msimu uliopita kwenye hatua kama hii ya Mashindano haya haya Real iliwanyuka Wenyeji wao Schalke 6-1.

Lakini pia Real, chini ya Meneja Carlo Ancelotti wana Majeruhi ambao ni pamoja na Viungo wao muhimu James Rodriguez na Luca Modric na Beki Sergio Ramos ingawa Beki mwingine, Pepe, amepona na huenda akacheza.
Katika
Mechi nyingine ya Jumatano, Mabingwa wa Uswisi FC Basel, ambao
waliwapiku na kuwatupa nje ya Mashindano haya Liverpool katika hatua za
Makundi, wanaivaa Porto ya Ureno ambayo haikufungwa hata Mechi kwenye
hatua hiyo ya Makundi.RATIBA LEO JUMATANO
Jumatano 18 Februari 2015
Schalke 04 vs Real Madrid CF
FC Basel 1893 vs FC Porto
Jumanne 24 Februari 2015
Juventus FC vs BV Borussia Dortmund
Manchester City vs FC Barcelona
Jumatano 25 Februari 2015
Arsenal FC vs AS Monaco FC Bayer 04
Leverkusen vs Atletico de Madrid
RSS Feed
Twitter
8:53 PM
Unknown


Kukabana" hakuna kupeana nafasi...
Patashika..Kipindi cha kwanza.
Wamekutana...
David
Beckham akipeana neno na Kocha wake wa Zamani Man United Mzee Sir Alex
Ferguson leo wakati wa Mchezo wa PSG na Chelsea. David Beckham
alistaafu soka akiwa katika timu hiyo ya PSG msimu wa 2012-13 Ligue 1.
Mtanange ukiendelea..
David Beckham akiwa anatazama kipute kati ya PSG vs Chelsea huko Ufaransa.
Kikosi kilichoanza cha Chelsea dhidi ya PSG

Mechi nyingine Siku hiyo ni ile ya kule Uswisi kati ya Wenyeji FC Basel 1893 na FC Porto ya Portugal.
Mechi nyingine 4 zilizobakia za Raundi hii zitachezwa Wiki ijayo.
Mechi
kati ya FC Shakhtar Donetsk na Bayern Munich huko Nchini Ukraine
imehamishwa toka Mji wa Nyumbani wa FC Shakhtar, Donetsk, kwenda Lviv
kwa sababu Mji huo umeshikiliwa na Wapinzani katika Vita ya wenyewe kwa
wenyewe Nchini humo.
Jumatano
Mabingwa Real wanacheza Nyumbani kwa Schalke ambako Msimu uliopita
Uwanjani hapo hapo kwenye hatua kama hii ya Mashindano haya haya Real
iliinyuka Schalke 6-1.
Katika
Mechi nyingine ya Jumatano, Mabingwa wa Uswisi FC Basel, ambao
waliwapiku na kuwatupa nje ya Mashindano haya Liverpool katika hatua za
Makundi, wanaivaa Porto ya Ureno ambayo haikufungwa hata Mechi kwenye
hatua hiyo ya Makundi.
Baadhi
ya Mechi nyingine za mvuto za Wiki ijayo za Raundi ya Mtoano ya Timu 16
ni ile ya Uwanja wa Etihad kati ya Manchester City na Barcelona hapo
Februari 24 ikiwa pia ni Marudio ya Raundi kama hii ya Msimu uliopita
ambayo Barcelona walishinda kwa Jumla ya Bao 4-1 katika Mechi mbili.
Siku
hiyo hiyo, Mabingwa wa Italy na Vinara wa Ligi Serie A, Juventus
watakuwa Wenyeji wa Borussia Dortmund iliyoanguka vibaya huko kwao
kwenye Bundesliga.
Jumatano
Februari 25, Arsenal ya Arsene Wenger itaivaa AS Monaco ya France ikiwa
ni mara ya kwanza kwa Wenger kucheza na Klabu yake ya zamani katika
Mashindano rasmi. 