Mabondia Francis Cheka kushoto na Kiatchai Singwancha wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa May 30 utakaofanyika katika ukumbi wa P.T.A sabasaba .
PICHA NA SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Francis Cheka kushoto na Kiatchai Singwancha wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa jumamosi ya May 30 utakaofanyika katika ukumbi wa P.T.A sabasaba
Mabondia Selemani Zugo naq Twaha Kiduku wakitunishiana misuli
BONDIA JOSEPH SINKALA AKITUNISHIANA UBAVU NA IBRAHIMU MAOKOLA BAADA YA KUPIMA UZIDO KWA AJILI YA MPAMBANO WAO W MEI 30 KATIKA UKUMBI WA P.T.A SABASABA.
BONDIA EPSON JOHN AKIPIMA UZITO
RSS Feed
Twitter
10:43 PM
Unknown
Akipokea
ushindi wake kwa vifijo Ukumbini, Blatter alitamba: "Twende FIFA,
Twende FIFA!" Mapema hii Leo, akiongea kwenye Mkutano wa Kongresi ya
FIFA, Blatter alisema kama Uenyeji wa Fainali za Kombe la Dunia za Miaka
ya 2018 na 2022 ungeenda kwa Nchi nyingine na si Russia na Qatar basi
kashfa hiyo ya Rushwa isingekuwepo.



Christian Benteke 



















Per Mertesacker akiangaliwa nae na Meneja
Sepp Blatter akiongea
Taswira
Michel Patini nae ndani kwenye Mkutano huo wa 65 wa FIFA 2015
Sepp Blatter akiongea
Mwenyekiti Roger Neininger
FiFa Financial Director Markus
Greg Dyke mwenyekiti wa chama cha mpira England
Sepp Blatter akiendelea kuongea 
