Klabu ya Juventus ya Italia
bado inaongeza nguvu katika kikosi chake kwa kusajili wachezaji kadhaa
ili kuweza kuendana na kasi ya michuano mbalimbali itakayoshiriki msimu
huu. Juventus ambayo imeondokewa na nyota kadhaa kikosini mwake ikiwemo Carlos Tevez na Andre Pirlo imeongeza nguvu katika kikosi chake.
Juventus August 25 wamekamilisha usajili wa mkopo kwa muda wa msimu mmoja wa aliyekuwa winga wa klabu ya Chelsea Juan Cuadrado ambaye alijiunga na Chelsea mwaka 2015 akitokea katika klabu ya Fiorentina ya Italia.
Pichaz Juan Cuadrado alivyowasili Italia August 24 kabla ya August 25 kutangazwa kusajiliwa
RSS Feed
Twitter
8:05 AM
Unknown

























Kipa Petr Cech ndie aliyeilinda Arsenal usiku huu kutofungwa
Alexis Sanchez akijituma
Cech
akiokoa shuti langoni mwake lililopigwa na Benteke katika kipindi cha
kwanza ambapo Arsenal na Liverpool zilibanana na kwenda mapumziko zikiwa
0-0.
Ramsey akifanya yake, alifunga bao lakini mwamuzi alidai si bao kwani Ramsey alikuwa Ofsaidi
