Monday, December 30, 2013
7:05 AM
Unknown
Leo
Samwel Eto'o ameibuka Shujaa wa Stamford Bridge alipofunga Bao la
ushindi wakati Chelsea ilipotoka nyuma kwa Bao 1-0 na kuitwanga
Liverpool Bao 2-1 wakati huko White Hart Lane Tottenham waliicharaza
Stoke City Bao 3-0.

Kipindi cha Pili, Mamadou Sakho alipiga posti kwa kichwa na Liverpool watarudi kwao wakijuta ‘kunyimwa’ Penati mbili kufuatia kuvaana na John Terry na Eto'o.
S
Petr Cech akiangalia nyavu zake zikitingishwa na Liverpool




Eden akishangilia bao lake mbele ya mashabiki wa Blues!
Wakipongezana Blues baada ya kusawazisha bao hilo la Eden Hazard





wote wakiuchungulia!MATOKEO:
Jumapili Desemba 29
Everton 2 v Southampton 1
Newcastle 0 v Arsenal 1
Chelsea 2 v Liverpool 1
Tottenham 3 v Stoke 0
MSIMAMO ULIVYO KWA SASA TIMU SITA ZA JUU
| 2013-2014 Barclays Premier League Table | |||||||||||||||||||||||
| Overall | Home | Away | |||||||||||||||||||||
| POS | TEAM | P | W | D | L | F | A | W | D | L | F | A | W | D | L | F | A | GD | Pts | ||||
| 1 | Arsenal | 19 | 13 | 3 | 3 | 37 | 18 | 6 | 2 | 1 | 16 | 6 | 7 | 1 | 2 | 21 | 12 | 19 | 42 | ||||
| 2 | Manchester City | 19 | 13 | 2 | 4 | 54 | 21 | 10 | 0 | 0 | 38 | 6 | 3 | 2 | 4 | 16 | 15 | 33 | 41 | ||||
| 3 | Chelsea | 19 | 12 | 4 | 3 | 35 | 19 | 9 | 1 | 0 | 22 | 8 | 3 | 3 | 3 | 13 | 11 | 16 | 40 | ||||
| 4 | Everton | 19 | 10 | 7 | 2 | 31 | 18 | 6 | 3 | 1 | 19 | 9 | 4 | 4 | 1 | 12 | 9 | 13 | 37 | ||||
| 5 | Liverpool | 19 | 11 | 3 | 5 | 44 | 23 | 8 | 0 | 1 | 25 | 6 | 3 | 3 | 4 | 19 | 17 | 21 | 36 | ||||
| 6 | Manchester United | 19 | 10 | 4 | 5 | 32 | 22 | 4 | 2 | 3 | 11 | 8 | 6 | 2 | 2 | 21 | 14 | 10 | 34 | ||||
6:56 AM
Unknown
J
Olivier
Giroud ameifungia bao la kichwa timu yake Arsenal katika Dakika ya 65
leo limeifanya Arsenal iifunge Newcastle huko St James Park Bao 1-0 na
kutwaa tena uongozi wa Ligi Kuu England wakiwa Pointi 1 mbele ya
Manchester City. Ingawa Arsenal walifungua nafasi kadhaa za kufunga lakini ni Newcastle waliokosa Bao za wazi wakati Shuti la Moussa Sissoko lilipookolewa na Kichwa cha Mathieu Debuchy kupiga posti.
Goli hilo la Arsenal lilipatikana baada ya Frikiki ya Theo Walcott kuunganishwa na Giroud.
Ushindi huu umewafanya Arsenal wawe kileleni mwa Ligi Kuu England Siku ya Mwaka mpya kwa mara ya kwanza tangu Msimu wa 2007/08.




\

Subscribe to:
Comments (Atom)
RSS Feed
Twitter


















