
Wilfried
Bony dakika 27 aliipatia bao la kwanza City na kufanya 1-0 baada ya
kulishwa mpira na Fernando. Dakika ya 40 Fernando aliwapatia bao la
pili City na kufanya bao kuwa 2-0 dhidi ya West Brom Albion. Dakika ya 77 David Silva anaipatia bao la 3 City na kufanya bao kuwa 3-0.
Kadi
nyekundu kwa Gareth McAuley imewafanya wacheze pungufu West Brom
Alibion katika kipindi cha kwanza dakika ya 2 ikiwa ni baada ya
kuangushwa chini mchezaji mpya wa City Wilfried Bony.
VIKOSI:Manchester City XI: Zabaleta, Kompany, Mangala, Clichy, Navas, Fernando, Lampard, Silva, Bony, Aguero
West Brom XI: Myhill, Dawson, McAuley, Olsson, Lescott, Baird, Morrison, Gardner, Fletcher, Sessegnon, Berahino.
RSS Feed
Twitter
8:48 AM
Unknown
Sturridge,
Lallana, Johnson, Steven Gerrard, Rickie Lambert wote furaha wakti wa
Mazoezi kujiandaa na Mtanange wao kwao dhidi ya Man United.
Mshikamano..Wachezaji wa Liverpool wakifurahia
Lucas Leiva na Kolo Toure kwenye mazoezi leo hii
Kocha wa Liverpool akifurahia jambo wakati wa Mazoezi..
Dejan
Aaaah
Lazar na Javier
Kolo Toure