LA LIGA RATIBA
Jumatano Desemba 30
18:00 Real Madrid CF v Real Sociedad
18:00 Levante v Malaga CF
20:15 Rayo Vallecano v Atletico de Madrid
20:15 Sevilla FC v RCD Espanyol
20:30 SD Eibar v Sporting Gijon
22:30 FC Barcelona v Real Betis
22:30 Celta de Vigo v Athletic de Bilbao
22:30 Getafe CF v Deportivo La Coruna
23:00 Las Palmas v Granada CF
Alhamisi Desemba 31 18:00 Villarreal CF v Valencia C.F
RSS Feed
Twitter
7:05 AM
Unknown


Patashika
za Ligi Kuu England kuendelea tena leo, Kuna Mechi moja pekee ambayo
itaamua nani anamaliza 2015 akiwa anaongoza Ligi.
Wakati
Leicester wana Kikosi kamili bila Majeruhi ingawa mapema walipatwa na
wasiwasi wa Staa wao Jamie Vardy, ambae ndie Mfungaji Bora wa Ligi,
kutocheza kutokana na kuugua, City watamkosa Nahodha wao Vincent Kompany
ambae ni Majeruhi pamoja na majeruhi wengine Pablo Zabaleta, Fernando
na Samir Nasri.
Yaya Toure kendeleza tena wimbi la magoli!