Neymar kulia akishangilia bao lake la ushindi dhidi ya Colombia leo hii Ijumaa walipoichabanga bao 1-0

Neymarakikimbiza na Juan Zuniga huko Miami

Radamel Falcao kwenye patashika akikabwa
Wakicheza hii Leo huko Sun Life Stadium,
Miami ikiwa ni Mechi yao ya kwanza chini ya Kocha Dunga na pia hii
ikiwa ni Mechi ya kwanza kwa Neymar kuichezea Brazil tangu avunjwe Mfupa
wa Mgongoni na Juan Zuniga wa Colombia kwenye Mechi ya Robo ya Kombe la
Dunia Mwezi Julai, Brazil wameifunga Colombia Bao 1-0.
Hadi Mapumziko, Bao zilikuwa 0-0.
Dakika ya 51 Colombia walibaki Mtu 10 baada ya Cuadrado kutolewa nje kwa Kadi Nyekundu alipopata Kadi ya Njano ya Pili baada kumchezea Rafu Neymar.
Kwenye Kipindi hicho cha pili, Brazil ilimuingiza Mkongwe wao Robinho ambae hajaichezea Nchi hiyo Siku nyingi na Colombia wakamwingiza Straika wao, Falcao, ambae ni Mchezaji mpya wa Manchester United na ambae hakucheza huko Brazil kwenye Fainali za Kombe la Dunia baada ya kuumia Goti.
Neymar kwenye patashika dhidi ya wachezaji wa Colombia Aldo Leao Ramirez

Neymar akifanya yake ndani ya Uwanja wa Miami Sun Light

Jina mpya wa Aston Villa Carlos Sanchez akichuana na Diego Tardelli

Frikiki murua ya Dakika ya 82 iliyopigwa na Neymar ndio iliwapa Brazil Bao lao moja na la ushindi.
Brazil watacheza Mechi nyingine ya Kirafiki huko Marekani hapo Jumatano dhidi ya Ecuador.
Hadi Mapumziko, Bao zilikuwa 0-0.
Dakika ya 51 Colombia walibaki Mtu 10 baada ya Cuadrado kutolewa nje kwa Kadi Nyekundu alipopata Kadi ya Njano ya Pili baada kumchezea Rafu Neymar.
Kwenye Kipindi hicho cha pili, Brazil ilimuingiza Mkongwe wao Robinho ambae hajaichezea Nchi hiyo Siku nyingi na Colombia wakamwingiza Straika wao, Falcao, ambae ni Mchezaji mpya wa Manchester United na ambae hakucheza huko Brazil kwenye Fainali za Kombe la Dunia baada ya kuumia Goti.
Neymar kwenye patashika dhidi ya wachezaji wa Colombia Aldo Leao Ramirez
Neymar akifanya yake ndani ya Uwanja wa Miami Sun Light

Jina mpya wa Aston Villa Carlos Sanchez akichuana na Diego Tardelli

Brazil watacheza Mechi nyingine ya Kirafiki huko Marekani hapo Jumatano dhidi ya Ecuador.
MECHI ZA KIMATAIFA ZA IRAFIKI
RATIBA/MATOKEO:
Ijumaa Septemba 5
Japan 0 vs Uruguay 2
Jumamosi Septemba 6
Brazil 1 Colombia 0Jumapili Septemba 7
05:00 Chile v Mexico
2145 Serbia v France
Jumatatu Septemba 8
14:00 South Korea v Uruguay
23:00 Saudi Arabia v Australia
Jumatano Septemba 10
03:00 Chile v Haiti
05:00 Brazil v Ecuador
05:00 Mexico v Bolivia
RSS Feed
Twitter
11:49 PM
Unknown

Kwenye
Mechi iliyofuatia ya Nusu Fainali, Brazil, bila ya Neymar, ilibandikwa
Bao 7-1 na Germany ambao walitinga Fainali na kutwaa Kombe la Dunia kwa
kuifunga Argentina 1-0.
Mchezaji
Ismail Gunduz wa SK Rum ya Austria amefungiwa kutocheza mechi 70 ikiwa
ni adhabu baada ya mchezaji huyo kumpiga kichwa uwanjani mwamuzi wa
mchezo. 

Pichani
juu ni walimbwende wa shindano la Miss Ilala 2014 wakiwa kwenye picha
ya pamoja mara baada ya kutambulishwa rasmi kwa mashabiki wa Skylight
Band ambapo Jumamosi hii atapatikana mshindi wa taji hilo ndani ya
Hoteli ya Hyatt Regency The Kilimanjaro jijini Dar. 

Baada ya Joe Hart kutoka langoni kuokoa mpira, Zlatan alipiga mpira kwa tikitaka na kufunga goli safi mno 

Sir
Alex Ferguson akizungumza na Carlo Ancelotti na Arsene Wenger katika
mkutano wa makocha mjini Nyon MKUTANO wa mwaka wa makocha wa kiwango cha
juu umeanza jana jumatano na kumalizika leo, makao makuu ya UEFA, mjini
Nyon, Uswizi.
Wakizungumzia mchezo mzuri: Rais wa UEFA Michele Platini akizungumza na Ancelotti na Ferguson leo alhamisi.
Picha ya pamoja ya makocha katika makao makuu ya UEFA leo nchini Uswizi.
Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho akiwa amekaa na kocha wa zamani wa Stamford Bridge, Carlo Ancelotti 